top of page

 

 

UCA TZ CAMPAIN

 

UCA TZ POSTER PIC.

 

Unaweza kuungana nasi kuhaikisha UCA TZ inafika kila kona nchini. Tutumie picha yako ikiwa umeshika karatasi iliyoandikwa UCA TZ na slogan yako kwa chini.
Note: Slogan yako uhusiane na mziki na sanaa

UCA Anthem- The Making

 

UCA Tz iliingia studio za Genious Records kurecord nyimbo yao iliyohusisha 7 young upcoming Tanzanian artists.

 

Nyimbo inazungumzia project UCA Tz ikiwa inatoa changamoto na hamasa kwa vijana wenye vipaji va mziki na sanaa kutorudi nyuma.

 

Je, umeshaisikia UCA Anthem?, Kama bado tembelea page yetu ya Facebook, Hulkshare or SoundCloud upate kuisikia.

 

 

© 2013 by UCA Tz

  • Twitter Clean
  • w-facebook
  • w-googleplus
bottom of page